Saturday, October 31, 2015

Kuchagua cake yako ta harusi (Wedding cake)

Hi warembo,hope you are having a great weekend
Leo let's talk about wedding cakes,here are some few tips
Enjoyyyy

  • Jaribu kuwa umeshachagua mtu ambaye atakupikia cake yako at least two weeks before your wedding


  • Make sure unajua the exact cake you want, yani shape na flavor gani either chocolate,  vanilla, strawberry na nyingine nyingi 


  • Jaribu kuwa na picha mbili tatu za cake unazowish iwe ya kwako then unaweza kudesign

Enjoyy

Friday, October 30, 2015

Choosing your Bridal bouquet ( Kuchagua Ua lako la harusi)

Hi warembo

I hope you are having a good day

Lets talk about bridal bouquets, yayyyyyy.We all know ouquets (au maua ya kushika mkononi ya mabibi harusi) adds flavour, light hope and most of all yanapendezesha sanaaaaa harusi.

Here some tips kuchagua maua ya kubeba (bouquets)

  • Make sure unajua unataka kubeba aina gani ya maua, kuna maua ya aina nyingi sana, lilies,roses,canation nk, so its always good to know,at least two weeks efore your wedding,



  • Choose a bridal bouquet that has one of your wedding colors, or if unapenda kubeba plain white or ivory its always the best choice
  • Please dont go for artificial flowers/bouquets, its sooo out of time ( my views lakini) but you can always have them if you like them 



  • Make sure unachukua ua lako la harusi a day before your wedding au asubuhi sanaaa, or wakuletee salon mapema sana ili bi harusi asichelewe
  • Make sure unatafuta mtu wa kukutengenezea maua "florists" at least two weeks before your wedding ili kama kuna maua ya kuagiza nje ya nchi aweze kufanya hivyo mapema
  • Chagua shape ya ua unalotaka mapema
  • Usichague ua kubwa sana mpaka likawa mzigo siku ya harusi, remember, you have to enjoy your day

  • And last go enjoy your day with your beautiful bouquet of your dreams

See you on the next post     
XOXO

Makeup tips for your Wedding, Sendoff and kitchen party

Hi warembo

Today i ll give you just a few tips for the makeup, for your wedding/reception,kitchen party/sendoff

"Leo nitatoa tips kwa ajili ya makeup kwa ajili ya harusi yako, sherehe ya kuagwa au hata kitchen party:"

here we gooooooo, and enjoyyyyyy

Makeup Tips
  • Make sure you know which makeup artist you want,at least a month before your wedding
  • Make sure umeshaina kazi zake na u
    meridika nazo kuepuka disappointments siku ya harusi yako
  • fanya uchunguzi wa which makeup artist is the best, in terms of quality amd cost and affordability, kwa sababu kuna sooo many makeup artists out there.dont. The same good quality makeup can be achieved with very affordable price
  •  Know the exact look that you want, kama simple look, dramatic, a pop of colour or any look that you want, kuepuka kupoteza muda siku ya harusi
  • kama inawezekana, ufanye makeup testing at least a week before your wedding, to know exacrly ow you would look, but mara nyingi hii service unalipia.
  • Omba ushauri kwa ndugu na marafiki ili ufikie uamuzi sahihi
  • fanya booking mapema
  • Usichelewe siku ya harusi yako, be on time for the makeup artist to do her best, and uate muda mzuri wa kupiga picha na kuenjoy
  • Try to sleep early a night before your wedding, to wake up fresh and relaxed
  • Drink a lot of water, two weeks before your wedding kurefresh ngozi yako, "Water is the best medicine"
  • usipake creme au mafuta yoyote mapya at least two weeks before your big day, unaweza kupata matatizo ukapanic na kujuta,
  • Be free with the makeup artist, kama hujapenda kitu, tell her to change, in order for you to be comfortable, 
Well guys follow these tips and you ll be a happy Soul

Now you can go and marry the love of your life




 Look at those ladies, beautiful makeup, not too dramatic, not too simple, i love love love




 A nude look is always timeless, try this for your wedding day



 Woow, a pop of colour is not too bad aftter all,this can be your kitchen party look or for our lovely brides wanapoenda rangi nyingi nyingi

                                                                      XOXO