Tuesday, January 5, 2016

Wedding Planning (Maandalizi ya Harusi) Kutumia Wedding Planners

Hi  guys

Leo tuongelee maandalizi ya harusi yani Wedding Planning

Hapa kwetu Tanzania kuna utamaduni wa kufanya vikaovya harusi, hivi vkao vinakuwaga miezi miine mpaka sita kabla ya harusi.
Hivi vikao ni vizuri sana, ndugu  mnakutana, mnadiscuss mambo meengii ili sherehe ipendeze


                                                 BUT

Tunaweza kubadilika sasa watanzania, kuna makampuni mengi sana ya Wedding Planning yanayoweza kusimamia shughuli yako na ikawa nzuri sana. You just give them what you want and wanadeliver, kwa ufanisi wa hali ya juu sana
Kuanizia kukutafutia ukumbi wa matakwa yako
Mpambaji wa ukumbi
Mtu wa kukufanyia makeup bi harusi na bwana harusi
Nguo za harusi
Vinywaji
Chakula, Usafiri na mengine meengii








Mambo ya kukaa vikao yanaweza kuisha au kupungua, nyakati zimebadilika sana, mambo bila vikao yanawezekana kabisa and sherehe yako inakuwa nzuri sana

Tuwatumie events planners wanasaidia sana

Thank you


Monday, January 4, 2016

Real brides: Muslim Wedding, Ashura.s Aqdi


Hi lovelies

Happy new year

Today we bring you Ashuras makeup transformation from her wedding day or Aqdi

She looked beautiful with her offwhite gown and gold accessories

Makeup and Gele by Mrembo wetu Salom 0688 212324, Mikocheni near CRDB bank Mikocheni branch

Gown by Mrembo Wetu Salon





thank you and hope you enjoyed the pics