Hi guys
Leo tuongelee maandalizi ya harusi yani Wedding Planning
Hapa kwetu Tanzania kuna utamaduni wa kufanya vikaovya harusi, hivi vkao vinakuwaga miezi miine mpaka sita kabla ya harusi.
Hivi vikao ni vizuri sana, ndugu mnakutana, mnadiscuss mambo meengii ili sherehe ipendeze
BUT
Tunaweza kubadilika sasa watanzania, kuna makampuni mengi sana ya Wedding Planning yanayoweza kusimamia shughuli yako na ikawa nzuri sana. You just give them what you want and wanadeliver, kwa ufanisi wa hali ya juu sana
Kuanizia kukutafutia ukumbi wa matakwa yako
Mpambaji wa ukumbi
Mtu wa kukufanyia makeup bi harusi na bwana harusi
Nguo za harusi
Vinywaji
Chakula, Usafiri na mengine meengii
Mambo ya kukaa vikao yanaweza kuisha au kupungua, nyakati zimebadilika sana, mambo bila vikao yanawezekana kabisa and sherehe yako inakuwa nzuri sana
Tuwatumie events planners wanasaidia sana
Thank you
Weddings and Events Planning Makeup for all events Wedding gowns Bouquets Original Cosmetics Retail point
Tuesday, January 5, 2016
Monday, January 4, 2016
Real brides: Muslim Wedding, Ashura.s Aqdi
Hi lovelies
Happy new year
Today we bring you Ashuras makeup transformation from her wedding day or Aqdi
She looked beautiful with her offwhite gown and gold accessories
Makeup and Gele by Mrembo wetu Salom 0688 212324, Mikocheni near CRDB bank Mikocheni branch
Gown by Mrembo Wetu Salon
thank you and hope you enjoyed the pics
Subscribe to:
Posts (Atom)