Tuesday, January 5, 2016

Wedding Planning (Maandalizi ya Harusi) Kutumia Wedding Planners

Hi  guys

Leo tuongelee maandalizi ya harusi yani Wedding Planning

Hapa kwetu Tanzania kuna utamaduni wa kufanya vikaovya harusi, hivi vkao vinakuwaga miezi miine mpaka sita kabla ya harusi.
Hivi vikao ni vizuri sana, ndugu  mnakutana, mnadiscuss mambo meengii ili sherehe ipendeze


                                                 BUT

Tunaweza kubadilika sasa watanzania, kuna makampuni mengi sana ya Wedding Planning yanayoweza kusimamia shughuli yako na ikawa nzuri sana. You just give them what you want and wanadeliver, kwa ufanisi wa hali ya juu sana
Kuanizia kukutafutia ukumbi wa matakwa yako
Mpambaji wa ukumbi
Mtu wa kukufanyia makeup bi harusi na bwana harusi
Nguo za harusi
Vinywaji
Chakula, Usafiri na mengine meengii








Mambo ya kukaa vikao yanaweza kuisha au kupungua, nyakati zimebadilika sana, mambo bila vikao yanawezekana kabisa and sherehe yako inakuwa nzuri sana

Tuwatumie events planners wanasaidia sana

Thank you


Monday, January 4, 2016

Real brides: Muslim Wedding, Ashura.s Aqdi


Hi lovelies

Happy new year

Today we bring you Ashuras makeup transformation from her wedding day or Aqdi

She looked beautiful with her offwhite gown and gold accessories

Makeup and Gele by Mrembo wetu Salom 0688 212324, Mikocheni near CRDB bank Mikocheni branch

Gown by Mrembo Wetu Salon





thank you and hope you enjoyed the pics

Monday, December 14, 2015

Real brides: Mahuvi Weds Hosea

Hi ladies and gents

Last weekend was Mahuvi's wedding to Hosea,  and  we, Mrembo wetu team were honored to be part of the beautiful event,

She had six bridesmaids, her colours were Peach and silver


She opted  a nude look which suited her well, with her skin  complexion

Here are some of the pictures,enjoy














Monday, November 16, 2015

Nude Bridal Makeup (Natural) for Brides

Hi lovelies

I know it's been long heyy, bu am heree

Leo tuongelee  bridal makeup, Nude Makeup

Nude makeup maana yake kuwa inakuwa kama vile unakuwa natural, kama vile hujapaka, yani inakuwa haona rangi nyingi,

Lipstick inakuwa natural
Eyeshadow inakuwa natural
Blush pia inakuwa natural

This nude look inapendeza sana ikiwa unafanya harusi ya mchana, au church wedding, because inakuwa haina rangi rangi. Unaweza kupaka this kind of makeup halafu usiku ukaadd a bit aof drama kwa kuweka lipstick kali, yenye rangi..

here are some nude looks ambazo some of the brides wamepaka, it looks soo beautiful, japo wengi huwa hawapendi, because wanahisi  kama vile haipendi but nn reak sense its soo beautiful.







Wednesday, November 4, 2015

Real brides: Maria's Wedding

Hi ladies and Gents

Here is one of our brides, Maria on her wedding

Her dress is from 

@mrembo_wetu Follow us on Instagram
Mikocheni near ITV radio one, Radio Maria
0688 212324/ 0763 888521 

Here she is, looking beautiful





XOXO

Jinsi ya Kuchagua Suit za Harusi (Wedding Suits)

Hi ladies and gents

Mchana huu tuangalie jinsi ya kuchagua suti za harusi kwa ajili ya mabwana Harusi (Wedding Suits)

Kama ilivyo kwa mabibi  harusi mabwana harusi pia wanatakiwa wawe careful kwenye kuchagua suti ili kuifanya siku yao ipendeze.

Here are few tips.

Make sure umeshajua kama unataka kuagiza suti, kununua dukani au kama utashona suti yako at least miezi mitatu kabla ya harusi



Jitahidi kufanya window shopping, temebelea maduka mbalimbali ya suti  ili ufanye compariosn ya bei na quality



Jitahidi kuagiza suti yako mapema at least miezi miwili kabla ya harusi, ili iweze  kufika mapema. 



Kama unachagua kushona  suti, jitahidi ushone mapema ili kuepuka usumbufu.



Jitahidi kuvaa suti itakayofanana na msimamizi wako (bestman) inapendeza sana 





Kama unataka kuvaa tai ya rangi,jitahidi kuvaa tai yenye mojawapo ya rangi za harusi yako





Hope you enjoyed guys

Pictures kwa hisani ya Pinterest

See you on the next post

Garden weddings Ideas (Harusi za kwenye Garden)

Hi lovelies

Kuna aina  nyingi za harusi, yani unaweza kufanya harusi moja ya sehemu zifuatazo
  • kwenye hall (hall wedding)
  • Harusi ya ufukweni (Beach wedding)
  • Harusi ya bustanini (Garden wedding)
  • Harusi ya kufanyia nyumbani(Home wedding)
  • Harusi ya hotel (hotel weddings)
Leo tuangalie Garden wedding and here are some tips if you want to have a garden weddings 

Kama unataka kufanya harusi ya wedding, make sure una mpambaji mzuri sanaa ambaye anaweza kupamba kumb za nje na ambaye umeshawahi kuona kazi zake

 

 Kufanya harusi nje kwenye garden it means mpambaji anaweza kumake use of the nature, majani yaliyopo, miti iliyopo na kila kitu cha nature ambacho kipo.



  Kama utafanya harusi ya kwenye garden usiku,  make sure  pambaji awe na taa nyingiiiii ili kuwe na mwanga.






 Nashauri harusi ya kwenye garden iwe mchana yani the whole ceremony iwe mchana, ili kuweza kupata picha nzuriiii zenye mandhari ya kuvutia, kabla giza halijaingia




 Hope you enjoyed the tips

See you on the next post