Wednesday, November 4, 2015

Jinsi ya Kuchagua Suit za Harusi (Wedding Suits)

Hi ladies and gents

Mchana huu tuangalie jinsi ya kuchagua suti za harusi kwa ajili ya mabwana Harusi (Wedding Suits)

Kama ilivyo kwa mabibi  harusi mabwana harusi pia wanatakiwa wawe careful kwenye kuchagua suti ili kuifanya siku yao ipendeze.

Here are few tips.

Make sure umeshajua kama unataka kuagiza suti, kununua dukani au kama utashona suti yako at least miezi mitatu kabla ya harusi



Jitahidi kufanya window shopping, temebelea maduka mbalimbali ya suti  ili ufanye compariosn ya bei na quality



Jitahidi kuagiza suti yako mapema at least miezi miwili kabla ya harusi, ili iweze  kufika mapema. 



Kama unachagua kushona  suti, jitahidi ushone mapema ili kuepuka usumbufu.



Jitahidi kuvaa suti itakayofanana na msimamizi wako (bestman) inapendeza sana 





Kama unataka kuvaa tai ya rangi,jitahidi kuvaa tai yenye mojawapo ya rangi za harusi yako





Hope you enjoyed guys

Pictures kwa hisani ya Pinterest

See you on the next post

No comments:

Post a Comment