Wednesday, November 4, 2015

Garden weddings Ideas (Harusi za kwenye Garden)

Hi lovelies

Kuna aina  nyingi za harusi, yani unaweza kufanya harusi moja ya sehemu zifuatazo
  • kwenye hall (hall wedding)
  • Harusi ya ufukweni (Beach wedding)
  • Harusi ya bustanini (Garden wedding)
  • Harusi ya kufanyia nyumbani(Home wedding)
  • Harusi ya hotel (hotel weddings)
Leo tuangalie Garden wedding and here are some tips if you want to have a garden weddings 

Kama unataka kufanya harusi ya wedding, make sure una mpambaji mzuri sanaa ambaye anaweza kupamba kumb za nje na ambaye umeshawahi kuona kazi zake

 

 Kufanya harusi nje kwenye garden it means mpambaji anaweza kumake use of the nature, majani yaliyopo, miti iliyopo na kila kitu cha nature ambacho kipo.



  Kama utafanya harusi ya kwenye garden usiku,  make sure  pambaji awe na taa nyingiiiii ili kuwe na mwanga.






 Nashauri harusi ya kwenye garden iwe mchana yani the whole ceremony iwe mchana, ili kuweza kupata picha nzuriiii zenye mandhari ya kuvutia, kabla giza halijaingia




 Hope you enjoyed the tips

See you on the next post

 
 
 

No comments:

Post a Comment