Monday, November 2, 2015

Jinsi ya Kuchagua Gauni yako ya Harusi ( Steps to Choose your Wedding Gown)

Hi lovelies

Hoep youa re all having a great Monday
So leo tuangalie a few steps unazoweza kufuata unapochagua gauni yako ya harusi.
This is  a very sensitive thing kwa brides, we all know that, a dress is everything, so it has to be perfect 

Kila mtu anakuwa na ideal wedding gown anayotamani kuvaa siku Mungua atakapomjalia kuolewa, so we all have that tiny idea of what we want, japo si wote, 

so here we goooooo and enjooyyyyyyyy

  • Baada ya kuwa engaged, and mara nyingi hapa kwetu Tanzania, watu hufunga ndoa at least miezi mitatu baada ya engagement, so immedeately after engagement, jariu kuwa na idea unataka gauni ya aina gani
  •  Chagua gauni inayoendana na shape yako, watu tumeumbwa tofauti, so tuchague magauni ambayo yataendana na shape zetu, inapendeza sanaaaa





  •  Jaribu kuwa umeshajua gauni yako unataka kushona au kununua madukani au kuagiza nje ya nchi, hzo option zote tatu zinawezekana, hii nashauri ufanye three months before your wedding
  • Chagua gauni itakayoendana na mazingira utayofungia ndoa yako,either kanisani,msikitini, bomani, usichague nguo ambayo ukivaa ukifika kanisani bi harusi unarudishwa au unavalishwa kanga, hapa nazungumzia magauni yenye kuacha viungo muhmu wazi



  • Choose a wedding dress ambayo itakufanya uwe comfortable, ucheze, ufurahi, its your day
  •  Jitahidi uwe umeshspata nguo yako ya harusi  at least a week before your wedding ili kuondokana na pressure
  • Ukiwa unachagua nguo make sure unaoma ushauri kutoka kwa mama,dada au rafiki yako wa karibu ambaye una uhakika atakushauri vizuri, japo wewe ndio muamuzi wa mwisho, your choice is the best and last.



  • Kama unanunua gauni madukani, jaribu kufanya window shopping, tembelea as many shops as possible, kucompare uzuri wa magauni na bei, ili upate the best wedding gown
  • Kama you are an expecting bride, "mjamzito"  chagua nguo mabayo itakufanya uwe comfortable,and calm, and kama unaagiza nje, wakati wa kufanya vipimo, ongeza vipimo kidogo kwa ajili ya kuaccomodate ukuaji wa mtoto

 i hope it will be useful and helpful for our lovely brides to be.

Byeee, see you on the next post

No comments:

Post a Comment